Watu wanane wamefariki dunia na mmoja amejeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana na basi katika eneo la Igodima mkoani Mbeya.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mbeya, Mussa Taibu amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo ameema majeruhi wanaendelea kupata matibabu.

Ajali hiyo imetokea leo ikihusisha Noah yenye namba za usajili T 649 DEA na basi la Igembesabo katika Barabara ya Chunya Mbeya huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa hakijulikani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *