Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Stamina amefunguka na kuweka wazi kuwa ameweka Wazi Aina Ya Marafiki Ambao Anapenda Kuwa Nao Pamoja Na Kuweka Wazi Kuwa Hapendi Mambo Ya Makundi Kundi Kwa Kudai Ndio Mwanzo Wa Unafiki Na Kuanza Kusemana Na Kunafikiana.

“Mimi Nina Tabia Tofauti Kidogo Nina Aina Yangu Ya Marafiki Zangu Namna Gani Nataka Waweje,Sio Mtu Wa Gang Gang Kwa Sina Gang Huwezi Kuta Nimetembea Na Gang Na Wala Sina Watu Ambao Lazima Nitembee Nao.

Mimi Nina Wana Kadhaa Tu Ambao Tunafanya Mambo Yetu, Wanangu Ukiwaona Utakuta Wamevaa Plain Tshirt Low Cuts Hamna Mambo Ya Viduku Wala Hereni Kwasababu Hao Ndio Marafiki Ambao Tunapambana Wote Mtaani Wananijua Nikiwa Nacho Na Nikiwa Sina”

”Lakini Siunajua Mastaa Wakati Mwingine Tunafeki Sana Maisha Staili Yangu Ya Wana Ni Tofauti Mtu Akiwa Na Mambo Mengi Sio Mwanangu, Pia Mambo Ya Kukaa Makundi Kundi Ndio Yanaleta Unafiki Umbea Kusemana Ndio Maana Huwa Naona Bora Niwe Kivyangu Vyangu Tu Kujuana Sana Ni Kuharibiana CV”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *