Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu, Harold Nsekela kutopokea fomu ya kiongozi yeyote ambaye atakuwa hajawasilisha tamko lake la mali na madeni ifikapo Disemba 31 mwaka huu ambapo ndio mwisho wa kufanya hivyo.

MAGUFULI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *