Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Young Lunya amesema Kuwa Anatoza Kiasi Cha Dola Za Kimarekani 2500 Zaidi Ya Milioni 5 Za Kitanzaia Kwa Ajili Ya Vesi Moja Ukitaka Kufanya Naye Kazi.

Young Lunya amesema kuwa Kwenye Kulipisha Kolabo anaangalia Vitu Vingi Kwasababu Hii Ni Kazi Mwisho Wa Siku Huwezi Kusema Silipishi Kwa Vesi Lakini Pia Siwezi Kusema Namlipisha Kila Mtu.

Amesema kuwa Kuna Watu Wengine Kwa Mfano Wanakuja Wana Kipaji Na Uwezo Wa Kufanya Muziki Mzuri Na Amekuja Na Wimbo Wake Mzuri Na Hana Uwezo Wa Kukupa Wewe Kitu Chochote Hiyo Ni Kazi Ambayo Naifanya Kwa Bure Kabisa.

Ila Nakuwa Na Baadhi Ya Haki Kwenye Digital Platforms Zake, Lakini Kwa Msanii Ambaye Anajiweza Kabisa Amekuja Tufanye Kazi Kiwango Cha Juu Ni Dola Za Kimarekani 2500 Kwa Vesi, Kwa Bar 16”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *