Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuhusu Tour yake ya Marekani,Wasanii wake na jinsi ambavyo huwa anawatambulisha kwenye Game.

Alikiba amesema kuwa yeye anavyoona Bado tunasafari ndefu kwenye mziki wetu kwa nchi za magharibi kwani nguvu nyingi inahitajika kwa pamoja kuwaaminisha watu kuwa tupo na tunaweza.

Alikiba amewataka wasanii wenzake kuongeza nguzu kwenye kazi zao ili waweze kufika mbali kimuziki kwani wanaweza kufanya vizuri nchi za nje.

Mwanamuziki huyo kwasasa amerudi nchini baada ya kumaliza tour yake nchini Marekani ambapo alifanya show katika miji tofauti tofauti nchini humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *