Mwanamuziki wa Singeli nchini, Dullah Makabila amefunguka kuweka wazi mahusiano yake ya kimapenzi na kutoa ushauri kwa mashabiki wake.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Dulla Makabila ameandika “Hakuna kitu kinauma kama kumpenda mtu ambae hauwezi kuwa nae unampenda ndio ila uwenda mazingira yenu mapungufu yenu.
Pia ameandika changamoto zenu zinafanya ishindikane kuwa pamoja ingawa yeye ndie pekee anaekupa furaha kwenye hii dunia maana kinachofata ni battle kati yako wewe na moyo wako.
Mwisho amemaliza kwa kuandika kuwa na sio yule umpendae sasa unaufanyaje moyo wako ujitoe kwake bila kuleta madhala yeyote dah inaumiza sana kupigana na hisia zako mwenyewe.