Penzi la Lukamba na na Mke wake Cecy uhenda Tayari limefikamwisho baada ya wawili hao kutokuwa kwenye maelewano mazuri.

Cecy kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kuandika barua nzito na kuwaachia mawasli watu wa Instagram Barua hiyo imesema

“KAMA KUNA KITU SIKIJUTII NI KUKUFAHAM NA KUINGIA KATKA MAISHA YANGU. ILO SWEZI KULIPINGA AND TODAY NMEGUNDUA KUWA AKUNA TENA UPENDO KATI YETU SO ITS BETTER KILA MTU AKACHUKUA WAY YAKE KWA NAMNA YAKE MANA KUNA MAISHA BAADA YA AYA ☺️ I WISH U ALL THE BEST KWENYE MAISHA YAKO MAPYA.

Amesema kuwa LEO 05..11..2022 MM CECY SIYO MKE WA MTU NA SINA MAHUSIANO NA MTU YOYOTE YULE NNA MAISHA YANGU ANA MAISHA YAKE TUMEACHANA SASA TUNA MIEZI 3 ITS ENOUGH FOR ME TO DECIDE NNI NATAKA NA WAPI NATAKA KUELEKEA ALL IN ALL NIWATAKIE WEEKEND NJEMA WAPENZI WANGU “.

Barua hii inaweza kukupa majibu ya moja kwa moja kuwa Kwa sasa wawili hawa hawako pamoja tena Japo Ceccy hakuweka wazi Kuhusu chanzo cha wao Kuachana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *