Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto amefunguka na kusema kuwa yupo mbioni kuingia studio na kufanya kazi na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Marioo.
Mpoto Amegusia Hayo Kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amepost Picha Akiwa Na Msanii Huyo Na Kuandika Ujumbe Ambao Umeaminisha Mashabiki Kuna Jambo Linakuja Siku Za Hivi Karibuni.
Ameandika kama ifuatavyo ”Halikuwa wazo baya la mimi kufanya ngoma ya MAPENZI na Marioo Ubishi wetu ulikuwa tuimbe mapenzi ya umri gani.
Pia ameandika kwa kuandika Hapo ndipo tulipoishia jana tukaendelea kusikiliza EP ya Mbosso kanialika Dinner pale ghorofanu ili tumalizie mazungumzo ya umri upi tuimbe
unaweza kushauri pia siyo mbaya.