Kundi la muziki kutoka Tanzania, Navy Kenzo linalo undwa na wasanii Aika na Nahreel, wameingia kwenye Headline Nchini Marekani mara baada ya Kutajwa kwenye Majarida makubwa Nchini humo kupitia mtandao wa Billboard, pamoja na Hot97 na gazeti la Variety.

Navykenzo wametajwa kuwa ni moja wapo ya wasanii watako unda track list ya album iliyoandaliwa na kampuni ya usambazaji wa muziki ya EMPIRE iliyopo San Francisco Marekani, Album ambayo itakuwa na mjumuisho wa mastar wa muziki kutoka Africa wakiwemo.

Olamide, Fireboy DML, Kizz Daniel, Buju BNXN, Asake, Black Sherif na wengineo wengi. Album hiyo imepewa jina la “Where we come from (Tulipo toka)” wamefanya hivyo baada ya Muziki kutoka barani Africa.

Hambapo kusikilizwa na kupendwa kwa kiwango kikubwa duniani na kwa mujibu wa tovuti hizo Album hiyo inatarajiwa kutoka mwezi November tarehe 18.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *