Sakata la Aliyekuwa Mke wa Mwanamuziki Harmonize Bado linaendelea na unacho takiwa kufahamu ni kwamba Mara baada ya Siku ya Jana Sarah, Kwenda Mahakamani huku ikidaiwa kuwa Alienda kwenye muendelezo wa kesi yake ya Madai ya talaka kati yake na Harmonize.

Sasa kinacho endelea kwa wawili hao ni Kutupiana Vijembe tu, siku ya jana Harmonize Alishare Chating zake ambazo alikuwa akichati na mpenzi wake wa sasa ambae pia ni Manager wake Kajala Harmonize aliandika “Yani anashtaki kama mimi nimemuoa – anataka Mali

Tugawame maskini ya Mungu sijui mali gani wakati tumeachana nikaanza kulala kwako daah nilikuwa sina hata pakulala nilikuwa sina hizo mali zilikuwa wapi” Alisema Harmonize akimuambia Kajala Huko Dm.

Siku ya leo Sarah amevunja ukimya na kuamua kumjibu Harmonize kupitia insta Story yake ameandika -“don’t bite the hand that feed you for more than 4 years’.
Akimaanisha – Using’ate Mkono Uliokulisha kwa zaidi ya Miaka Minne.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *