Mwanamuziki wa Nigeria, Wizkid amekuwa Msanii wa kwanza wa Kiafrika kuwa kwenye vichwa cha habari duniani kote baada ya kuhudhuria kwenye tamasha kubwa zaidi la Hip-Hop duniani linalojuikana kwa jina la Rolling Loud.
Tamasha hilo lilifanyika lililofanyika katika jiji la Toronto nchini Canada ambapo mashabiki wengi wamehudhuria Tamasha hilo.
Mbaya na Kidayo kuwa msanii pekee wa Kiafrika Pia amekua Mwafrika wa kwanza kupokea dola milioni moja sawa na Tsh 2,332,000,000/= kwa ajili ya onyesho kwenye hafla hiyo.
Ikumukwe kuwa mastaa kutoka Marekani Future na Travis Scott mnamo mwaka 2019 pia walithibitisha kuwa walilipwa dola milioni moja sawa na Wizkid.