Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja ameshangazwa na kitendo cha nchi ya Nigeria kupiga marufuku makampuni ya nchi hiyo kutumia wasanii wa kigeni kufanya matangazo badala yake kutumia wasanii wa nchi hiyo.

Kupia account yake ya Instagram Dogo Janja Amepost Habari Ambayo Inaeleza Kuwa Nchi Ya Nigeria Imepitisha Utaratibu Kuwa Hakuna Tena Tangazo Lolote Ambalo Litaoneshwa Au Kutangazwa Kwao Na Wasanii/Watu Maarufu Ambao Sio Raia Wa Nchi Hiyo Kwa Lengo La Kukuza Zaidi Talent Zinazopatikana Nchini Mwao.

Pia Dogo Janja Amepost Story Hiyo Na Kuandika………..”Tunaopapatikia NA KUWALETEA SHOBO HAWATAKI SHOBO TENA!!!! NO MORE AD CAMPAIGN DEALS FOR NON-NIGERIAN TALENTS FROM 1/10/22
Ndio maana kwenye simu yangu nimejaza playlist za ASLAY NA MBARAKA MWISHEHE!! hata deal ya KULOKOTA MAKOPO TU HAWATAKI’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *