Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatoza au analiprwa dola laki moja $100,000 ambazo ni zaidi ya milioni mia mbili T sh 234,374,600/= kwa show za kimataifa.
Mbali ya malipo hayo Diamond atapewa Ndege binafsi ya kumpeleka eneo la tukio lakini pia ziwepo chupa 12 za pombe aina ya Whisky na chupa 24 za maji.
Pia taulo za kujifutia usowe ziwepo 12 na malazi ya ubora wa hali ya juu yaani chakula, Hoeli ya kulala ya nyota tano mpaka atakjapomaliza show yake.
Habari hiyo imetolewa na Jarida kwa kuandika. “Diamond Platnumz now charges $100,000 per international show with the provision of a private jet. The host must provide a bottle of whiskey, 12 beers, 24 bottles of water at anytime, 12 face towels, quality accommodation and more.”