Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amemshukuru mungu kwa kumuweka Pamoja na mpenzi wake Kajala licha ya misuko suko.
Kutoka Kwenye Ukurasa Katika Upande Wa Insta Story Harmonize ameandika …………”Dear God I know I’m asking for more everyday please just keep giving wat i deserve toka life lakwenda mtoni kuteka maji na dumu kichwani kwa mguu ukifika unafua nguo unazianika Unazuga mpaka zikauke ndo urudi na maji home.
NOW ON TOP OF THE GAME Hata yule dada tuliekuwa tunalipia shilingi 100 bandani na masela kumuona siku ikija tv kijijini kwetu now Tunaamka wote and She call me DADY, GOD DUA LANGU LEO LIENDE KWA WASIO NACHO KABISA.”
Kajala na Harmonize kwasasa wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi baada ya kurudiana tena ambapo hapo awali waliachana wawili hao.