Muigizaji wa Bongo Movie, Anko Zumo amefunguka na kusema kuwa watu wanamkosea sana heshima, Steve Nyerere licha ya kujitoa kwa jamii katika masuala mbali mbali ya kijamii.
Kupitia akaunti yake ya Instagram “Kasoro zakibinaadam zipo lkini zinaepukika pale utakapokua huna imani na kukataa dili atakazokupa, lakini katika swala la kujitoa huyu jamaa ni mwmba sanaa.
Hivi kwani mazuriyake hatuyaonii?? Mbona tumeegemea kuyataja mabaya yake?? Ukiyasifia mazuriyake utaambiwa hujamfahamu huyu jamaa.
swali kama unaona ishuzake hazikufai kwanini usikae pembeni.?? Hakuna swala gumu na la imani kama kutoa ulichonacho ambacho watu hawajui unakabiliwa na nini katika familiayako. Lakini mwamba nimemshuhudia mpaka ananunua mafeni ya msikitii.
Ukiacha alipojitoa pale msanii mwenzetu alipoibiwa pesa zake zoote kule hotelini tulipokua tumesafiri. na kugharamia malazi pale tunapokua na pesa isiyotosheleza kulipia mahoteli, je mnafahamu gharama ya kosta kwenda mwanza?? Zile pesa zimeokotwaa.?
Je mzeewetu mara ya mwisho mnafahamu kama huyu jamaa alitoa gharama zakee?? Natamani niendelee kutaja sifazake za kujitoa ila nahofia maana itanilazimu niwataje watu ambao hawataki shidazao zijulikane.
Wakati mwengine tunamkosea sana huyu jamaa. Kama hatuna imani na kazi kutoka kwake tukae pembeni tutafute madiliyetu wenyewe tuwaache walio na imaninaee.