Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba Boy amemshukuru mwanamuziki mwenzake Alikiba kwa ushirikiano wake katika kazi zake za muziki.

Kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika “Ndugu Yangu Kipenzi | kaka yangu Alikiba Asante Sana kwa upendo na nafasi Kubwa ya uliyonipa Ukweli nashukuru Sana Uliniambia MANENO Haya Baada ya Kazi yetu hi inayopata mwaka Sasa!

Pia ameandika kuwa ulisema BARNABAS / Baada ya HAPA sitaki kukuona Unashuka nami nimetimiza Kile ulichonipa Na kuniongoza | kwa heshima nikasema Haiwezi kupita BIla kubali katika Historia Hi nasema Asante Kwako na team Nzima BIla Kusahau Manager Aidan Team Kings Mungu awabariki / Cheketua acoustic.

Barnaba ameachia albam yake mpya inayokwenda kwa jina la Love Sound and Different ambayo kwasasa inafanya vizuri katika mitandao ya kuuza muziki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *