Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu amefunguka sababu ya kutohudhuria Harusi Ya Msanii Mwenzie Nandy licha ya kupewa mualiko ni kuwepo Na Majukumu Mengine Ya Kazi.
Zuchu amesema kuwa mara ya mwisho amezungumza naye ilikuwa siku ya harusi yake na alimtaka aende kwenye harusi yake lakini alikuwa yupo bize.
“Mara Ya Mwisho Nimezungumza Naye Ilikuwa Siku Ya Harusi Yake, Aliniomba Niende Kwenye Harusi Yake Lakini Nilikua Na Vimeo Nikamwambia Sitoweza Kuhudhuria Lakini Baada Ya Harusi Yake Nikampongeza Nikamwambia Ndugu Yangu Umeweza Umeolewa?.
Zuchu amempongeza Na Nimefurahi Juu Yake Lakini Ukweli Unaouma Ni Kwamba Ukiwa Msanii Wakike Ndoa Ni Ndoto Ambayo Hutakiwi Kuiwaza Sana”.
Pia Zuchu amesema kuwa ”Kwa Upande Wangu Ni Kitu Ambacho Nimeishi Nacho Kwenye Maisha Yangu, Mama Yangu Ni Mwanamke Mzuri Roho Yake Safi.