Muigizaji wa Bongo Movie, Rose Ndauka amesema kuwa, mume wake, Hafidh anapenda sana kula chakula chake (Rose).

Rose anasema kuwa, hakuna kitu ambacho anatamani kila siku zaidi ya kuongeza ujuzi kwenye suala zima la mapishi hivyo anabuni mbinu mpya kila kukicha.

“Mume wangu anapenda sana kula chakula ninachokipika na huwa natamani sana kila siku niwe na mapishi mapya ili akipende Zaidi, alisema Rose Ndauka.

Pia amesema kuwa sifa ya kwanza ya mwanaume ni chakula, hayo mengine ni ziada tu,” anasema Rose Ndauka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *