Dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz aitwae Esma Platnumz amefunguka na kusema kuwa haoni sababu ya kuteswa Kwenye Mapenzi/Mahusiano Wakati Ana Uwezo Wa Kusimamia Mambo Yake Yote Na Sio Kisa Ni Dada Wa Diamond.

Amesema kuwa Yeye Binafasi Anauwezo Wa Kusimamia Mambo Yake, Hivyo Haoni Sababu Ya Kukaa Anaumia Kwenye Mahusiano Na Wakati Anaweza Kutafuta Pesa Mwenyewe.

“Sijamwambafai Kwasababu Ni Dada Yake Flani Mimi Najiamini Na Najikubali Kwasababu Ni Mwanamke Ambaye Natafuta Mwenyewe,Najua Kutafuta Pesa,Najua Kulipa Kodi Najua Kujijengea Najua Kulisha Watoto Wangu Nina Wafanyakazi Nyumbani Nina Walinzi Ninasomesha Watoto Wangu Nina Kila Kitu Kinachojitosheleza.”.

”Kwahiyo Mwanaume Hawezi Nibabaisha,Nikiona Hatuelewani Namwambia Ashike Na Mimi Nishike Huku Yanini Nipate Stress Ndugu Yangu Maisha Yenyewe Mafupi Nishateswa Huko Saana Hata Huu Utu Uzima Wangu Nianze Kuteseka Na Mapenzi? Hapana Kwakweli Siwezi”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *