Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Beka Flavour amefunguka na kusema kuwa hana ugomvi wowote na Mbosso licha ya kutokuoneka kwenye uzinduzi wake.

Beka Flavour amesema hayo baada ya mwanamuziki mwenzake Mbosso kusema kuwa hajapewa mwaliko kwenye uzinduzi wa Beka ndio mana hakutokea siku hiyo.

Beka amesema kuwa “Mimi Sijaona Ugomvi Kama Vita Ya Muziki Ipo Mimi Naisikia Kwa Watu Wengine Huko Kama Nyinyi Mnavyoisikia Lakini Ukileta Vita Kwetu Sisi (Yamoto Band) Iyo Kauli Mimi Siitaki Sijawahi Kuwa Na Vita Na Sitaki Itokee Vita Yani Hata Atokee Mtu Atangeneza Vita Kiasi Gani Mimi Nitajitoa Kwenye Hiyo Vita.”

Mbosso alionekana kuwa Niliyoiona Akiongelea Mambo Haya Haya Kwamba Kadi Haikumfikia Nimeona Komenti Za Watu Wanalalamika Sana Mimi Nina Wivu.

Beka amesema kuwa amesema kuwa  Kadi Haijamfikia Maana Yake Hakupata Mualiko Hivyo Kama Mimi Naongea Sehemu Nalalamikia Yeye Kutokuja Hiyo Sio Kitu Kizuri Japokuwa Mimi Sijawahi Kuongea Sehemu Yoyote, Kwanini Nimlalamikie Yeye Hajafika Kwenye Shughuli Yangu?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *