Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza ametangaza rasmi tour yake katika miji tofauti nchini Marekani kuanzia mwezi wa Septemba mwaka huu.

Alikiba ameeleza kuwa huu ni mwaka wa nne hajawahi kufanya show Marekani hivyo hiyo inaonyesha ni namna gani ame miss kufanya show katika yaifa hilo.

Kupitia akaunti yake ya Instagram ‘ “Let the International Only One King Tours begin!! And my first tour will be in USA !!!

It’s been 4 years since I was in the united states to connect with my fans, i would like to officially announce I will be starting my USA Tour this September, cant wait to party with you all my dearest fans. For Bookings & Inquires please Call 323.868.6114 Tour dates will be announced soon be ready to party and be entertained”.

Ameongeza kuwa Tour hiyo itakuwa maalumu kwa ajili ya kuitangaza album yake mpya ya Only one King iliyotoka mapema mwaka huu.

Kiba ametangaza Ziara yake ya hiyo Kimuziki Nchini Marekani Baada ya Kukaa Miaka Minne bila kufanya Ziara yoyoyte nchini humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *