Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes amefunguka na kusema kuwa kwasasa anataka kufunguka ndoa na kutulia na mwanamke mmoja.
Dully Sykes amesema kuwa muda way eye kuoa sasa ushafika hivyo anatarajia kufunga ndoa na kuanzisha familia japokuwa bado hajampata mwanamke huyo wa kumuoa.
Dully Sykes amesema kuwa “Kwa sasa kiukweli nataka kuoa na mwanamke anayemtaka ni mlinda mlango asiwe mfanyakazi akihofia mambo mengine.
Mwanamke mlinda goli namaanisha mwanamke ambaye atakuwa anaangalia familia pia ambaye hataangaika na DM za instagram yeye ni kuangalia familia tu na sio vinginevyo.