Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Jay Melody ameweka wazi kuwa kwasasa Digital Platforms kimekuwa chanzo kingine kikubwa na kizuri ambacho kinasaidia kuwapa wasanii fedha tofauti na zamani Ilivyokuwa lazima kununua CD au kanda au kufanya show ndio upate fedha.

“Siku Hizi Unaweza Usipate Shows Au Deals Lakini Ukiweka Wimbo Wake Kwenye Digital Platforms Unapata Hela Kwasababu Nafkiri Vitu Vingi Vimebadilika.

Jay Melodimesema kuwa Zamani Ilikuwa Lazima Ununue CD Lakini Watanzania Siku Hizi Wajanja Wanasikiliza Nyimbo Kwenye Digital Platforms”.

Pia amesema kuwa Kwahiyo Imekuwa Rahisi Sisi Kuuza Muziki Wetu Lakini Pia Imekuwa Sehemu Rahisi Zaidi Ya Kukutana Na Mashabiki Zetu (Digital Platforms) Hata Kwa Upande Wangu Mimi Nimepata Hela Nyingi Sana Kupitia Digital Platforms Ni Kitu Ambacho Nashukuru Na Kuwaomba Mashabiki Waendelee Kusapoti Muziki Wa Tanzania”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *