Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Q-Chief au Chillah amefunguka kuwa, kuna kitu anacho ambacho akikiongea kinaweza kusababisha nchi kujigawa.
Chillah anasema kuwa, anaweza kuzungumza kila kitu, lakini watu wakahisi kama anatafuta njia ya kutokea ndiyo maana anaamua kukaa kimya ili kuruhusu maisha mengine yaendeLee.
“Kuna vitu ambavyo nilikaa kwenye kioo nikajitazama na kusema kuwa siku nikitaka kuongea kila kitu kwenye jamiii, naweza nikaigawa nchi.
Pia amesema kuwa halafu mimi ni mtu mdogo sana, halafu kuna baadhi ya watu wanaweza wakahisi kwamba natafuta njia ya kutokea,” anasema Chillah.