Video Vixen Bongo Tunda amevunja ahadi yake ya kutaka kujiua endapo asipoolewa mwaka huu kwa sababu kuna vitu vimemshawishi kwenye maisha ya u-single.

Kupitia Insta Story yake Cappuccino Tunda ameandika kwamba Nilisema mwaka huu nisipoolewa najiua, kuna marekebisho ya kiufundi yamejitokeza nasogeza hadi mwakani mweiz kama huu”.

“Kuna vitu vimeni-inspire kwenye maisha ya u-single nimeona niendelee kubaki single kuliko kuolewa kwasasa” Alisema Tunda 

Ikumbukwe Tunda tayari ameshavalishwa pete ya uchumba na Whozu na wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike ambaye amezaliwa mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *