Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes amewajibu Baadhi Ya Wadau Pamoja Na Wasanii Wenzie Ambao Waliwahi Kumsema Kuwa Msanii Huyo Hana Nyumba Huku Wakienda Mbali Na Kusema Kuwa Amekuwa Ni Mtu Wa Kupanga tu.

Dully Sykes amesema kuwa Niliwahi Kuzungumziwa Kuwa Napanga Panga Tu Sijajenga Na Ni Msanii Mkubwa Sijui Pesa Nimepeleka Wapi Kila Mtu Akitunga Lake Lakini Hawajui Upande Wangu Ni Mtu Gani Kama Nina Nyumba Na Sitaki Kuongea”

“Wengine Wadogo Zangu Wasanii Kwasababu Wao Wameweza Kujenga Wakawa Wananisema Hivyo Pia Hata Majirani Zangu Tabata.

Lakini Kumbe Sio Kweli Nina Maisha Yangu Nina Nyumba Yangu Na Naishi Kwangu Bunju Kwa Pesa Ya Muziki Sijaiba Na Sikutaka Kuzungumza Nikasema Ngoja Nitoe Wimbo Ili Wajue Walichozungumza Sio Kweli”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *