Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Marioo amefunguka Kuhusu Game Ya Muziki Wa Bongo Kuwa Ni Miongoni Mwa Game Ngumu Kuliko Nchi Zingine,Ambapo Ametoa Mfano Wa Nchi Ya MAREKANI Wasanii Ni Rahisi Kufanikiwa Kutokana Na System Ya Kuendesha Muziki Nchini Humo Kuwa Nzuri.
Marioo amesema kuwa Kwa Mfano Mimi Ningekua Msanii Wa MAREKANI Kwa Sasa Ningekua Na Mafanikio Makubwa Mno,Tungekuwa Na Mafanikio Makubwa Mno Kama Tungekuwa Na System Kama Ya Wenzetu Marekani.
Pia amesema kuwa Wenzetu Wana Sytstem Nzuri Lakini Sasa Bongo Bado Mambo Magumu Mno Ndio Mtu Akifanikiwa Inabidi Tu Apreciate,
Mimi Nafkiri Nimefanikiwa Maana Nilipotoka Na Nilipo Na Ninaweza Kuendesha Familia Yangu Naishi Vizuri Nina Gari Kali Na Nimefanya Uwekezaji Tofauti tofauti Sababu Ya Muziki.
Mwisho amemalizia kusema kuwa Mimi Nina Biashara Zangu Ambazo Zinaniingizia Elfu Hamsini Kila Siku Sehemu Si Chini Ya Saba Naa Na Nina Biashara Zingine Kwaiyo Nashukuru Muziki Umeweza Kufanya Nagawa Mashavu Na Naishi Vizuri”.