Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Linah amefunguka na kusema kuwa kitu ambacho kama muda ungerudi nyuma asingeruhusu kuzaa nje ya ndoa uu Kuzaa na mtu ambaye alitegemea wangekuwa pamoja milele lakini ikawa tofauti.

Linah amesema kuwa Kama Kuda Ungerudi Nyuma Kitu Ambacho Ningebadilisha Ni Kuzaa Nje Ya Ndoa Au Kuzaa Na Mtu Ambaye Nilitegemea Tungekua Pamoja Milele Lakini Mwisho Wa Siku Imekuja Kuwa Tofauti.

Pia amesema kuwa Ni Hii Yote Ni Kwasababu Ya Mtoto Wangu Na Sio Kwasababu Yake Nilitamani Mtoto Wangu Akue Katika Maisha Ya Kuwa Na Baba Na Mama.

Ameongeza kwa kusema kuwa hajutii kuwa na mtoto Maana Mtoto Ni Baraka Za Mungu Lakini Kama Ningepewa Nafasi Ya Kurudusha Nyuma Kisingeweza Kutokea Nawish Kisingetokea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *