Muigizaji wa Bongo Movie, Kajala Masanja amesema kuwa kwa hivi sasa anahitaji kupumzisha akili yake kutokana na majanga aliyopitia.

 

Kajala alisema kuwa wengi wanamwambia haonekani lakini ukweli ni kwamba hahitaji kuonana na watu kwa hivi sasa mpaka mambo yake yatakapokaa sawa kabisa.

 

“Kwa hivi sasa nataka kutulia tu mwenyewe nifanye mambo yangu kwa sababu nina vitu vingi vya kukaa na kutafakari mwenyewe bila hata msongamano wa watu,”

 

Pia Kajala amesema kuwa Kajala ambaye anakabiliwa na msala wa kusambaza picha za utupu polisi, yeye pamoja na mwanaye Paula.

 

Hivi karibuni Kajala aliachana na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize ambaye walidumu kwenye mapenzi kwa miezi miwili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *