Mwanamuziki wa Marekani, Justin Bieber amefunguka na kusema kuwa atasimama kufanya muziki ili kushughulikia afya yake kwanza.

Mwanamuziki huyo raia wa Canada alitumia ukurasa wake wa Instagram yake kuwasilishia mashabiki wake juu ya uamuzi wake.

Bierber ameandika maneno yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram “Nimesoma ujumbe mwingi sana ukisema unataka albamu, Nimepata maisha yangu yote ya Ujana, na mapema miaka ya 20.

Ikumbukwe kuwa Bierber amemuoa Hailey Baldwin pia kuhusu hilo alisema kuwa anataka kuwa karibu na familia na mpenzi wake kwani anatarajiwa kuwa baba kwa ambaye.

Pia ameendelea kusema kuwa “Nimekuwa nikiangalia, kutafuta, jaribio na kosa kama wengi wetu wanavyofanya, sasa nikazia sana kutengeneza baadhi ya masuala yaliyotokana na mizizi ambayo mimi na wengi wetu tuna nayo, ili sije kuanguka, Ninaweza kuendeleza ndoa yangu na kuwa baba ninayotaka kuwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *