Mwanamuziki wa dansi nchini ajulikanae kama Joto Dar es Salaam amesema kuwa Hamisa Mobetto anastahili kuolewa kwa mahari ya milioni 300 kutokana na urembo wake.

Muimbaji huyo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa wimbo wake mpya “Amber Tuma” akiwa amemshirikisha Papii Kocha.

Amsema kuwa Mimi tayari ni mume wa mtu Lakini ningekuwa sijaoa kwa hapa Tanzania ningependa kumuoa msichana mmoja ambaye ni mrembo kati ya warembo wote ni Hamisa Mobetto.

Pia amesema kuwa Yaani mimi ningemuoa Hamisa Mobetto kwa gharama yoyote ile yaani hata wangesema milioni 300 ningetoa kumuoa kwa sababu kwanza ni mzuri sana lakini pia naona ana tabia nzuri sana”.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa urembo wa Mobeto unaweza kutoka pesa yoyote atatakayo huku akishangaa wanaombeza mwanamke aliezaa na Diamond Platnumz.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *