Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mwasiti amefunguka na kusema kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi yenye amani na furaha.

Mwasiti amesema kuwa kwa umri wake mpaka sasa kusema kuwa  hayupo katika mahusiano ni uongo kwa sababu sio kweli hata kidogo,

Mwanamuziki huyo amesema kuwa ni aibu kubwa katka umri wake kusema kuwa hana mahusinao kwa sababu kusema hivyo ni kumaanisha kuwa hafatwi hata na mtu mmoja wakati kiuhalisia siyo kweli.

Watu wamekuwa wakikataa kusema kuhusu mahusiano yao hadharani lakini mwasiti ameona kuwa kumtaja  mwanaume wako ni swala la kawaidia tu na wala halina shida yoyote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *