Mwanamuziki wa hip hop Bongo, Rosa Ree amefunguka na kusema kwa sasa yupo single ila atakapoingia katika mahusiano hatosita kuwajuza mashabiki wake.

Rose Ree amesema hayo baada ya maneno kuenea kuwa mwanamuziki huyo hana mpenzi kama walivyowanawake wenzake.

Rosa Ree amesema kwa sasa yupo single ila atakapoingia katika mahusiano hatosita kuwajuza mashabiki wake.

Amesema kuwa kwenye nyumba yake aliyopewa na uongozi wake ataishi yeye na familia yake ila kwasasa aaishi yeye kwanza.

Rosa Ree kwa sasa anatamba na ngoma ‘Way Up’ ambayo amemshirikisha rapper Emtee kutoka Afrika Kusini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *