Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa muda unavyokwenda atataja orodha ya pili ya wanawake aliotembea nao Jacquline Wolper.

Kupitia akaunti ya Instagram mwanamuziki huyo amesema kuwa kama akiendelea kumfuatilia mambo yake na mpenzi wake Sara atatoa orodha ya pili.

Harmonize ameanza kuandika ‘kuwa mwanamke ni chombo ambacho mungu amekupa na kukutunuku  jitahidi sana kukitumia vizuri  na sio kukifanya kama kichaka cha kufanyia maovu ukitegemea kuwa mtu atakaa kimya na kutokukujibu  eti kisa ataonekna kuwa ni mdhalilishaji.mama yangu pia ni mwana mke lakini hakai hata siku moja akiziongelea familia za watu  katika mitandao, mwanamke wangu kaishaitwa mlezi wa wana na mimi nilishaitwa mdangaji  utadhani nitaogopa kuitwa mswahili?…. basi fundi cherehani wangu sitomwambai tena sarah  kuwa unanisumbua ….wacha niliambie taifa  sasa kikosi (B) coming soon.

Wawili hao walikuwa wapenzi kabla ya kuachana kwao na Harmonize sasa ana mpenzi mwingine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *