Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewaomba msamaha wananchi wake wakati akilihutubia bunge la nchi hiyo.

Kenyatta ameoomba msamaha huo mapema jana wakati akilihutubia bunge la nchi hiyo ikiwa  ni kawaida kwake kulihutubia bunge mara moja kwa mwaka.

Akizungumzia kuhusu yeye kukutana na Kiongozi wa Muungano wa Upinzani nchi Kenya , Kenyatta amesema kwamba

“Wakati tulipokutana mimi na yeye (Odinga) mapema mwaka jana tulikubaliana kufanya kazi pamoja ili kuijenga nchi yetu hii. Tunaimani kabisa kwamba tutatumia muungano wetu kutatua kero za Wakenya”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *