Kiungo wa Barcelona, Sergi Roberto ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022.
Roberto mwenye umri wa miaka 26 amecheza michezo 34 msimu huu amehusishwa kutaka kujiunga na kikosi cha Pep Guardiola wa Manchester City.
Kocha wa Barcelona Ernesto Valverde amehakikisha kumuongezea mkataba mchezaji huyo huku hada yake ya uhamisho kwa timu itakayo muhitaji ikiwa ni pauni milioni 440.