Upinzani nchini Venezuela wamekasirishwa na viongozi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wakati wa kukusanya kura za maoni za kumwondoa madarakani Rais Nicolas Maduro.

Wapinzani wamesema kuwa ni muhimu kumuondoa rais madarakani na ikishindikana Maduro anaweza kuharibu uchaguzi wa Urais unaokuja.

Henrique: Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela.
Henrique: Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela.

Lakini kama ni mwakani makamu wake atashikilia nafasi yake na kuruhusu chama chake cha kijamaa kuendelea kubaki madarakani.

Gavana wa jimbo la Miranda Henrique Capriles, ameeleza kucheleweshwa huko ni ujinga na kuhimiza maandamano ya wapinzani kuendelea septemba mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *