Mbunge wa Siha, Dr Godwin Mollel kupitia Chadema amejiuzulu nafasi yake ya ubunge na kujiunga na CCM kwa ajili ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli.