Mkurugenzi wa IPP Media, Reginald Mengi amefunguka meneno mazito kwa mkewe mrembo Jacqueline Mengi kwenye siku yake kuzaliwa.

Mzee Mengi na Jacqueline Mengi walifunga ndoa miaka miwili iliyoita katika visiwa vya Shelisheli.

Mengi na Jacqueline wamezaa watoto wao mapacha wa kiume na hatimaye miaka miwili iliyopita walifunga ndoa katika visiwa vya Shelisheli.

Mengi hakusita kumpa yaliyo moyoni mwake kwani kwenye ujumbe wake aliouweka kwenye mtandao wa Twitter alifunguka kuhusiana na mapenzi yake mazito aliyonayo juu ya Mkewe hadi kufikia hatua ya kumjulisha kuwa bila yeye kuwepo maishani mwake hataweza kuishi kwa sababu yeye ndio pumzi take.

Happy birthday My Love, I wish many more happy years full of fun, happiness and love Jacqueline you are the air that I breath”.

Hayo ndiyo maneno aliyoandika Mzee Mengi katika kumtaki heri ya siku ya kuzaliwa kwa mkewe Jacqueline Mengi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *