Muigizaji wa Bongo Movie, Jackline Wolper, amesema anapenda wanaume wenye maumbile madogo kwani yeye mwenyewe maumbile yake ni madogo.

Wolper amesema hana sababu ya kupenda au kusifia wanaume wenye maumbile makubwa wakati yeye maumbile yake ni madogo.

Amesema kuwa  Unajua mwanamke anayesema mwanaume mashine namshangaa, mwanaume pesa bwana, mwanamke ambaye anajua maisha,  hawezi kusema mwanaume mashine, mimi mwenyewe siwezi kusifia mashine”.

Pamoja na hayo Jackline Wolpler amesema kwa sasa hataki kujihusisha sana na masuala ya mahusiano, kwani amezipa kipaumbele kazi zake tu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *