Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Afande Sele amewachana wasanii wa Bongo Movie kutokana na tabua zao.

Afande Sele amesema kuwa hawachukii wasanii wa bongo movie, bali huchukia tabia zao chafu ambazo zinaharibu Tasnia.

Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba wasanii wa bongo movie wana tabia chafu hasa za kuwanyanyasa wanawake kwa kuwatumikisha kingono, huku akimtolea mfano muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) ambaye amefungwa.

Mwanamuziki huyo ameendelea kusema kuwa tabia za wasanii waTasnia hiyo ndiyo inatia doa wanatakiwa kubadilika ili kuendeleza sanaa hiyo iliyojidora kwasasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *