Bendi ya Msondo Ngoma imeitaka WCB kuilipa milioni 300 ndani ya siku saba la sivyo wataenda mahakamani baada ya WCB kutumia melody ya Saxaphone ya Msondo kwenye wimbo wa Zilipendwa.

Wanasheria wa Bendi hiyo wamesema kuwa WCB wanapaswa kulipa kiasi hicho cha pesa kwa madai kutumia kionjo cha melody ya saxaphone cha wimbo wa bendi hiyo bila ruhusa.

Kupitia taarifa zilizosambaa jana kupitia mitandao ya kijamii kwamba kampuni ya sheria ya bendi hiyo, Maxim Advocate huku barua ya kesi hiyo ikionekana kupitia Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) pamoja na COSOTA.

kesii

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *