Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Quick Rocka amefunguka na kusema kuwa kwasasa Bongo hakuna msanii anayeweza kuchana zaidi ya wasanii wake wa kundi la OMG.

Quick Rocka amesema hayo alipoulizwa swali na mtangazaji wa kituo cha radio maaarufu hapa nchini.

Pia amesema kuwa kwenye kizazi hiki sasa hivi hamna rapa kama vijana wangu wa OMG, ndo wanafanya Hiphop,  ukiacha hao hamna mwingine anayeweza kuwapiku.

Kila meneja anayesimamia wasanii wake lazima atawasifia, hata ukiangalia meneja wa makundi ya Mkubwa na Wanawe, Yamoto Band na TMK ambaye ni  Said Fela,  hawezi kusifia kundi  jingine zaidi ya vijana wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *