Serikali imeyataka magazeti na majarida yote hapa nchini kusajiliwa upya kuanzia leo Alhamisi, Agosti 23 hadi hadi Oktoba 15, 2017 kwa mujibu wa sheria.
Msemaji wa Serikali Dk Hassan Abbasi ameyaeleza hayo leo wakati akizungumza na wanahabari katika Ukumbi wa Habari Maelezo, Posta jijini Dar es Salaam.