Aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji jana alifikishwa katika mahakama kuu kwa ajili ya kusikiliza kesi yake inayomkabili.
Baadhi ya watu waliofika kwenye mahakama hiyo walishangaa kumuona Manji akiwa tofauti na hapo awali kutokana na muonekano wake mpya ambapo ameonekana kuwa na ndevu nyingi kinume na utaratibu wake.
Tazama picha zake alivyosasa