Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi kuanzia leo tarehe 11 Juni, 2017.

Maamuzi haya yamekuja siku mbili baada ya habari za kampuni ya IPTL kuongezewa mkataba wa uzalishaji umeme.

majalimoja

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *