Wizara ya Afya, Maendeleo ya Wanawake Jinsia na Watoto imewaita kufanya kazi madaktari waliokuwa wamekidhi vigezo vya kwenda kufanya kazi nchini Kenya baada ya nchi hiyo kuomba msaada wa madaktari 500 kutoka Tanzania kufuatia mgomo wa madaktari nchini humo.