Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutengua uteuzi wa waziri wa Habari, Nape Nnauye, Wema Sepetu ameandika ujumbe wa kumtia moyo Nape.

Wema ambaye hivi karibuni alihamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameweka ujumbe huo kwenye mitandao ya kijamii akionesha kuzipokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri yaliyofanywa na Rais Magufuli.

Nape Nnauye ametenguliwa na nafasi yake kuchukuliwa na Dk. Harison Mwakyembe aliyekuwa waziri wa Katiba na Sheria.

sepenga

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *