Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya ziara ya kushtukiza katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA) kukagua ujenzi wa uwanja huo sehemu ya Teminal 3 na kukuta ujenzi huo umesimama hatimaye mafundi wanaendelea na ujenzi.
Picha za ujenzi huo