Mwandishi wa vitabu vya Harry Potter, JK Rowling amewajibu watumiaji wa mtandao wa Twitter ambao wametishia kuchoma moto vitabu vyake kufuatia msimamo wake dhidi ya rais Donald Trump.
Rowling amekuwa mmoja wa watu maarufu ambao wametuma ujumbe mara nyingi kwenye mtandao wa Twitter wakimkosoa rais Donald Trump kuhusiana na katazo lake la hivi karibuni la kusafiri.
Baadhi ya followers wake wameyachukulia maneno yake kama ukosefu wa heshima kwa rais na wakaahidi kuchoma motoo vitabu vyao vya Harry Potter na wengine wakisema wameshavichoma.
Hata hivyo mwandishi huyo alionyesha msimamo na kuwapa majibu ya kuwafunza adabu.
Tazama ilivyokuwa:
Twitter fan I:
‘I will burn your books and movies, too’.
Rowling:
‘Well, the fumes from the DVDs might be toxic and I’ve still got your money, so by all means borrow my lighter.’
Twitter fan II:
I have just burned all the Harry Potter books after being a fan for 17 years’.
Rowling:
‘Guess it’s true what they say: you can lead a girl to books about the rise and fall of an autocrat, but you still can’t make her think.’
Twitter fan:
‘You’re a grown ass woman whose entire career is based on stories about a nerd who turns people into frogs. Stay out of politics.’
Rowling:
‘In – Free – Countries – Anyone – Can – Talk – About – Politics.
“Try sounding out the syllables aloud, or ask a fluent reader to help.’
Hii si mara ya kwanza kwa vitabu vya Harry Potter kuchomwa moto au kutishiwa kuchomwa moto lakini kwa siku za nyuma ikiwamo mwaka 2001 sababu kubwa ilikuwa ni imani ya dini.